Skip to main content

Posts

Showing posts from July, 2022

UFUATILIAJI WA USAFI WA KINYWA KWA WATOTO (TOOTH BRUSHING TRACKER FOR KIDS)

 Afya ya kinywa na meno kwa watoto ni muhimu sana kwa kuwa huweza kuathiri afya ya mwili kwa ujumla na ukuaji wao. Ufuatiliaji wa usafi wa kinywa kwa watoto ni muhimu kwa wazazi na walezi, nimewaandalia mfuatiliaji mzuri au tracker ambayo itawasaidia wazazi na walezi kuhakikisha watoto wanafanya usafi wa kinywa na kuwahamasisha wapende kupiga mswaki. Wazazi na walezi wanashauriwa kuwapa zawadi pale ambapo watoto wanafanya vyema katika usafi wa vinywa vyao.